Ufunguzi wa Kiwanda cha Global Packaging (T) Limited

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, sehemu ya Viwanda Mhe. Dkt. Adelhelm J. Meru azindua Kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha “Global Packaging (T) Limited kilichopo katika eneo la viwanda la Tamko Kibaha, Mkoani Pwani. Kiwanda kitaanza uzalishaji ifikapo January 2017 na kitazalisha vifungashio mil. 16 kwa mwaka na kiwanda kinategemea kuajiri zaidi ya watu 110 katika awamu ya kwanza


Warning: Undefined array key "share-on-text-footer" in /home/globalpa/public_html/wp-content/plugins/avas-core/inc/social-media.php on line 226
https://globalpackaging.co.tz

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*